Friday, May 3, 2013

JAMAA ASIEISHA VIMBWANGA SIKIA HII

 
 
MARIO Balotelli ameachwa na aliyekuwa mchumba Fanny Neguesha — siku chache baada ya kuripotiwa kusema kwamba kikosi kizima cha Real Madrid kingeweza kulala nae ikiwa wangeitoa Borussia Dortmund.

No comments:

Post a Comment