Tuesday, March 19, 2013

AUDI LA WEMA NDANI YA MOVIE YAKE MPYA



Kwenye movie mpya ambayo itakua ya kwake ya pili kuigiza baada ya Super Star iliyozinduliwa na Omotola Jalade wa Nigeria, movie star wa Tanzania Wema Sepetu ataigiza na kutumia jina la Doris na hili gari ambalo ni moja ya anayoyamiliki kwenye maisha halisi, litatumika.Hapana chezea Mtoto ya sepetu

Emraan Hashmi Among the Indian actor i love

Emraan Hashmi is an Indian film actor who appears in Hindi language films. Before starting his career as an actor, Hashmi worked with Vishesh Films as an assistant director on Vikram Bhatt's Raaz.

 
 
 
 
 

Friday, March 15, 2013

PENNY~ NEW MAMA KIJACHO IN TOWN, ADONDOSHEWA ZAWADI YA GARI

 
 
 
 
Mapenzi ya Diamond na Penny sasa yameenda next level kwani sasa wanatarajia kuitwa mama na baba nanilihu miezi michache ijayo, yote hayo yamejulikana katika kipindi cha XXL ya Clouds Fm na Gossip Cop ambapo Diamond alisema ni kweli Penny ambaye ni mtangazaji wa DTV ni mjamzito na wanatarajia kupata mtoto,

Soudy Brown alimuuliza kuhusu fununu za kutumia Milioni 15 kununua gari la mke wake mtarajiwa Penny

Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema “nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake”

Alipoulizwa kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu “siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia “

Monday, March 11, 2013

GIDEON MBUVI 'SONKO' SENETA SHAROBARO WA NAIROBI.





 
KWELI DUNIANI KUNA MAMBO MMMH YANGU MACHO

CPWAA TO BE ONE OF THE SPEAKERS FOR THE IMPACT OF ICT IN TANZANIA ENTERTAINMENT INDUSTRY AT MOMODAR‏



 
A Tanzanian Music Artist Ilunga Khalifa a.k.a CPwaa who has 3 Tanzanian Kilimanjaro Music Awards and multiple International Music Awards nominations including "The Channel O Africa Music Video Awards" will be one of the key speakers at MobileMonday (MoMo) in Dar es salaam this Monday of 11th March 2013.







CPwaa who is one of Tanzanian International Bongoflava Artists is also an ICT specialist with over 7 years of work in Tanzania Telecommunication Industry. Started working in 2006 immediately after graduating from college CPwaa is a professional IT Engineer and Technical Project Manager. Currently working as IT consultant for different companies and a Music stakeholder.
At this Mobile Monday CPwaa will share his experience, success and challenges in the entertainment industry and how technology has impact on it.The event will take place at KINU Innovation offices and other speakers include:

1. Rashid Shamte - Head of Group Strategy, 6Telecoms.
2. Luca Neghesti - Enterpreneur and founder of Bongo5.
3. Charles Motadane - Head of value Added Services and Internet, Vodacom Tanzania.
4. Hussein Mkwazi - Final year student at IFM, Part-time programmer.

Friday, March 8, 2013

Happy Woman’s Day

A woman 1 of the most beautiful creation of GOD, showering her respect as daughter, feel her care in the form of a sister, feel her warmth in the form of a friend. why did God create man 1st b4 creating a woman off course , because its always good 2 make a rough draft 1st b4 making a MASTERPIECE..”Happy Women’s Day


 
 

Sunday, March 3, 2013

Women celebrations ilivyofana

 
Mama Tunnu Pinda
Mama Mish B na Edna Mlokozi class mate zangu

Eve Colletion left Designer na mkubali sana

Nimerudi tena wadau baada ya kupotea kwa takribani week mbili si mnajuwa tena kuwa kuchanganya vitu kwangu ni mwiko so kipidi cha mitihani niliipa elimu yangu kipaumbele coz nimeenda shule mwenyewe bila kulazimishwa soo haihusu kabisa nijikute nashwindwa kuconcetrate but pamoja .