Monday, December 17, 2012

Koffie Olomide akishop Brillante ndani ya mayfair plaza

                                        Mopao akichagua kiatu na vinginevyo

sikuwa nimetaka kuiongelea hii mada ila nimeshangaa sana kusoma blog moja mtu anavyojitoa fahamu kuhusu koffie kununua ngua bongo. nimeshangaa na kuona kweli mwafrika ata baki kuwa mwafrika milele coz mtu kununua nguo bongo sizani kama ni kuishiwa au ni mtu kaamua kuwa
mzalendo na kuunga mkono sehemu aliyokuja kutembelea ni mawazo na mtazamo wangu.
imefikia mahali watanzania tujivunie na tuweze kuwasupport watanzania wenzetu hivi huwezi kuona kuwa afadhali pato la nchi limeongezeka unabaki kushadadia kuwa jamaa kachoka let us grow up watanzania na kuondokana na fikira za kichovu.

No comments:

Post a Comment