Friday, December 14, 2012

TOKEA TOFAUTI CHRISTMAS YA 2012





























Hizo ni baadhi ya decoration ambazo zaweza kuifanya nyumba yako ionekane tofauti na ilivyo zoeleka maana hiki kipindi utajionea vioja.kama umeamua kupamba nyumba yako na mfuko unaruhusu basi tujitahidi jamani kuwa unique coz mtu unaenda dukani kununua mapambo ya sikukuu but unazoa zoa tu ilimradi try tu spend for your house sometime tusiwe wabahili kama tunataka muonekano upendezao kwa nyumba zetu.nadhani meona hiyo miti hapo sio lazima green tree  lol.

No comments:

Post a Comment