Monday, April 15, 2013
Saturday, April 6, 2013
Tuesday, March 19, 2013
AUDI LA WEMA NDANI YA MOVIE YAKE MPYA
Kwenye movie
mpya ambayo itakua ya kwake ya pili kuigiza baada ya Super Star iliyozinduliwa
na Omotola Jalade wa Nigeria, movie star wa Tanzania Wema Sepetu ataigiza na
kutumia jina la Doris na hili gari ambalo ni moja ya anayoyamiliki kwenye maisha
halisi, litatumika.Hapana chezea Mtoto ya sepetu
Emraan Hashmi Among the Indian actor i love
Emraan Hashmi is an Indian film actor who appears in Hindi language films. Before starting his career as an actor, Hashmi worked with Vishesh Films as an assistant director on Vikram Bhatt's Raaz.
Friday, March 15, 2013
PENNY~ NEW MAMA KIJACHO IN TOWN, ADONDOSHEWA ZAWADI YA GARI
Mapenzi ya
Diamond na Penny sasa yameenda next level kwani sasa wanatarajia kuitwa mama na
baba nanilihu miezi michache ijayo, yote hayo yamejulikana katika kipindi cha
XXL ya Clouds Fm na Gossip Cop ambapo Diamond alisema ni kweli Penny ambaye ni
mtangazaji wa DTV ni mjamzito na wanatarajia kupata mtoto,
Soudy Brown
alimuuliza kuhusu fununu za kutumia Milioni 15 kununua gari la mke wake
mtarajiwa Penny
Diamond
amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama
watoto ambapo namkariri akisema “nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia
iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati
akisubiria gari lake”
Alipoulizwa
kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu “siwezi
kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time
inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana mtoto
akazaliwa ndani ya ndoa pia “















