Tuesday, January 29, 2013

KUA UYAONE

Kweli ukistaajabu ya musa

Yaani kuna ishu imeletwa mezani kwangu nimejionea maajabu sana.hivi kwa akili ya kibinaadamu kabisa mtu unaweza uwe na wivu wa kishamba kiasi cha kuto kumuamini mkeo ambaye umeanza nae kwa shida na raha .amekutoa from nobody to somebody mtu unaona fashion eti ugomvi kidogo na mkeo unataka kumrudisha kwao.

Yaani haniingi akili kabisa ndio maana sometime nakuwaga team Mange yaani mijanaume ka hii jamani too boring nahisi ningepigwa talaka siku 1 ya ndoa maana ni ngumu ku tolerate.

No comments:

Post a Comment