Monday, January 28, 2013

LULU APATA DHAMANA SOON URAIANI LOL

Lulu apata dhamana,atoa machozi mahakamana! Ameachiwa kwa masharti ikiwemo kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani,kuripoti mahakamani kila tar moja ya mwezi,wafadhili waweke bond ya Shillingi Millioni 20 kila mmoja. of all the drama nakapenda ka sweet sana haka katoto.
 

No comments:

Post a Comment