Sunday, November 11, 2012

Kucheka na marafiki huongeza kinga ya mwili.



Mzungu mmoja alifika benki na nyani wake, akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu", na yeye akaingia benki.

Wale waafrika wakachukia kuambiwa wana undugu na nyani wakamuua yule nyani. Aliporudi kumkuta nyani wake kafa akapanic kwa hasira na kuanza kuuliza aliyemuua nyani wake.

Wakamjibu "Hayo ni mambo ya kifamilia hayakuhusu".

 

No comments:

Post a Comment