Friday, November 30, 2012

BACK AGAIN

                                            Lila kim
Nimerudi wadau wangu baada ya kupotea kwa mda wa wiki moja bila kuniona mniwie radhi ni majukumu ya kifamilia ambayo ni mazito hata mda wa kupost sikuwa nao.

Nilisafiri kidogo kuelegea moshi ambapo ndio mwili wa mpendwa baba yetu mdogo Hamadi Kimaro, alipo lazwa tulimpenda sana lakini mungu kampenda zaidi so hatuna budi kulikubali hilo na kujifunza kuwa binadamu sisi si lolote mungu ndio mjuzi wa yote na hatuna budi kumshukuru kila saa na kila siku.
NAWATAKIA IJUMAA NJEMA.

No comments:

Post a Comment