Sunday, November 11, 2012

TASWIRA YA MKUTANO WA NEC DODOMA

                   Philip Mangula mgombea wa  nafasi ya makamu mwenyekiti bara

 


                                                         Kepteni Komba akitu,mbuiza
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma jana, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama
                                                                        Meza kuu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akisalimiana na MNEC Wilaya ya Monduli, Mh. Edward Lowassa jana jioni katika ukumbi wa NEC-Dodoma.…

No comments:

Post a Comment