Tuesday, February 5, 2013

INAPENDEZA SANA KUMJUWA SNITCH NA KUMPA KUBWA

A woman i respect so much came home about 30 mins ago i thought she came to buy Bongolicious but kumbe alikuwa kaja kunikalisha......Kwanza she made me promise sitokaa kumtaja, akaniambia tu kaona aniambie sababu she thinks watu nnao wadhamini na kuwaona marafiki zangu sio marafiki zangu, akaniambia sikwambii ili ugombane ila nakwambia ili uwe nao makini waweke mbali kidogo hawakupendi hata kidogo. Akanisihi sana nisigombane nao wala kuwaambia chochote....ofcourse mimi nna roho ndogo sana ndo maana hata naandika humu ili wahusika wajue nimejua....yani nimeumia sana but im glad nimejua....Hivi kama hunipendi kwanini hata unaongea na mimi? kwani nimekuwekea gun kichwani kwako kwamba lazma uwe rafiki na mimi? Really mtu anadhubutu hata kusema eti nilimuomba aniuzie nguo zangu but hakutaka? hivi ukinisema unadhani mimi naonekana mjinga au ni wewe? hata kama kweli nna kosa ukinisema kwa watu wewe ndo unaonekana mnafki sio mimi. Eti walikaa kwenye party yao sijui get together home wananisema mimi, washenzi wakubwa kwani niliwalazimisha kuwa rafiki zangu? kama mnaniona sifai mnanichekea for what? si msiniongeleshe kabisa....kweli binadamu habebeki,yani mijitu mimi ndio nimeifahamisha alafu leo inajifanya mijanja.yani all the contacts walizonazo mji huu its because of me alafu eti wananisema behind my back....If it wasnt for me wangekuwa nobodys in this town. Hata hao mabosi zao wanaowapa promotions makazini mimi ndo nimewaintroduce kwao.....kama sio mimi hao mabosi zao wangekuwa wanawaamkia shikamoo kama wafanyakazi wengine....Ila hawana shukurani, Eti Mange simuwezi, sio huniwezi unanionea wivu, mmeanza life toka bado nasoma mlimani ila nimewakuta na nimewapita kimaisha bado mpo vile vile and you know why? nisababu mna roho mbaya na mnanichukia wakati mimi niliwapenda kama dada zangu, i didnt everything for you. Nilikuwa najitoa kwenu kama vile nimezaliwa na nyie tumbo moja, ila nimewasaidia kwenye maisha yenu mmefika mlipofika ,wengine mmepata vipromotion kazini sasa hivi mnjifanya Mange hivi mange vile, mamae bila mimi hata udepartment head msingekuwa nao.......Alafu mnanisema mkidhani wote mliokaa hapo mnanichukia sasa mmoja wenu ni mnafki katoka kaenda kuhadidhia na habari zimenifikia.....
Eti unani ignore, unani ignore wewe kama nani, mtu mwenyewe hunifikiii kwa lolote kimaisha. Mtaishia kuwa average for the rest of your lives sababu mna roho za kwanini, Mungu hata sikumoja hawaongezeagi watu kama nyie. Mimi huwa nna penda rafiki kwa roho moja yani naweza kufa for a friend i think ndo maana Mungu ananiongezea kila siku sababu sina wivu na mtu na siku zote nataka mtu awe na maisha mazuri. Nimeonyeshwa mpaka chat ya one of my so called friends and mmbea mmoja ya NYC.Eti ana chat na mtu kabisa anasema ananishangaa sijui namcopy, nakucopy nini? ningekuwa naku copy basi wewe ungekuwa more than me, wapi ukasikia fake inafanya vizuri zaidi ya original, ukiona hivyo ujue sijajku copy chochote..... Some of us tumezaliwa na nyota zetu sababu nyoyo zetu zipo safiiiiii, Everything we touch turns to gold, na sababu ni kwamba tu sina wivu na mtu na niko tayari kumsaidia mtu afanikiwe hata anipite mimi sijali if thats what is meant to happen....mtaishia kupatwa na manuksi sababu ya kunisema sema bila sababu. Really nimeumia sana hiyo get together yenu mlikosa story za kuongelea mpaka mniongelee mimi? Eti mimi nimefanya mchukiwe na watu mbona hamuongelei kuwa mimi na blog yangu ndo niliofanya hata mkajulikana mji huu au mbona huongelei kuwa mimi nilikusaidia chochote. Kila mtu ana mabaya yake, unadhani wewe unamazuri tu?......Sasa kwa taarifa yenu mimi ndo nilikuwa nawafanya mnang'aa in this town, ngoja muda upite mtarudi kuwa irrelevant kama mlivyokuwaga kabla hamjanijua. Really mkiwaga na vitu vyenu events zenu nahangaika everywhere kumake sure nazipublicise utadhani mnanilipa kumbe nafanya kwa mapenzi tu mpaka wasomaji wangu wakawa wanasema najipendekeza kwenu, ila nyie kuweka kitu changu hata kwenye fb status mnahisi mtakuwa mmenisaidia sana.... Except Loveness Hoyange my dear friend who always takes her time to recognize my work publicly ingawa hakuna hata cha maana nilichowahi kumfanyia,simply because ananipenda kwa roho moja, ila ambao nimewafanyia mengi mema ndo wanajifanya wanajua....
Eti wamekaa wanasema Mange anachukiwa sana, guess what nyie ndo mlikuwa mnanichukia kupita watu woooote huko nje, eti Mange hampendi mume wake, wewe unaependa mume wako/boyfriend wako una nini cha maana? Simpendi mume wangu nilikuomba unidraftie divorce papers??? Listen hata kama ningekuwa na mapungufu yangu mlitakiwa mniambie mimi sio niko Marekani mnakaa kwenye viparty vyenu mnanisema. Really imeniuma sana binadamu wanajua kusahau wengine walikuwa wanaandikwa kwenye jamii forums nafight day and night hizo post zitolewe utadhani nimeandikwa mimi kumbe ni rafiki kaandikwa alafu eti anasema anaandikwa because of me, huko jamii forums walikuandika sabababu yangu mimi? Wengine walifikia sehemu ambayo hana hata senti mimi nikamuombea kwa mtu ambae yeye alikuwa hajamzoea sana amkopeshe pesa nyingiiiii ili maisha yake yaendelee, na si hapo tu pia nikamuombea kwa huyo mtu asamehewe hilo deni, imagine akasamehewa hilo deni because nilimuombea ila , shukurani ya mapunda ni mateke, amesahau nilimuinua alivyokuwa chini anakaa ananisema kwa watu ambao kipindi hana kitu na kidogo aaibike mjini mimi ndo nilimjali, hivi mtu kama huyu hata kama anaona nimemkosea kitu sidhani kama anatakiwa kunisema kwa mtu vibaya. Wengine walikuwa wananifata fata urafiki ili tu niwaintroduce kwa rafiki yangu ambae angewasaidia ,imagine nilivyo sina roho mbaya nikawa introduce, tena sio kuwaintroduce tu yani nikawa nna force urafiki utokee kati yao kila party nawaalika etc, leo kamzoea huyo mtu anajifanya mjuaji ananidharau mimi..... Nidharau all you want ila kumbuka without me usingemjua..... narudia tena watu kama nyie hamtoendelea ever kwenye maisha sababu Mungu anaona, anaona yote niliyowafanyia utadhani ndugu zangu alafu mnaniongelea,nyoko fyoko,nyoko fyoko, na kwanini msiniambie mwenyewe kama wanawake kweli? Matatizo yenu yanawashinda mnadiscuss matatizo yangu, hamjioni wajinga?

wengine 90% ya marafiki walionao mjii huu nini mimi nimewa introduce na kuforce urafiki btwn them, kawazoea hao so called friends wangu eti na lenyewe linanisema, Eti MANGE this and MANGE that........Wengine they were practially out of a job jinsi nilivyokuwa naumia utadhani hiyo kazi ni yangu, eti now vinajiona vya mjini. Guess what mtabakia kunenepeana na kuwa average living from pay cheque to pay cheque sababu ya roho mbaya......

huyo dada pia ana rafiki yake sijui ni rafiki ya Eric Shigongo au sijui anafanya kazi kwa Shigongo eti one of my so called friends told Shigongo kuwa she is soooo angry with me eti nimeweka picha zake on my blog without her permision, really??? you gave me 110% consent to post those photos if things turned out sour you should stick with me as your friend and not try to make yourself look good huku unanichafua mimi. Friends don't do that.... I guess my defination of friendship is soo far different from others.....

Eti Mange anatufanya watu watuone hivi sijui vile, Sasa nilikuwa Marekani more than 6 months,hamkuwa kwenye blog yangu for more than 6 months, embu niambieni dhamani zenu zimepanda kiasi gani mji huu? au benki account zenu zimeongezeka kwa kiasi gani? If anything mmenonekana vituko kushinda hata wakati mko na mimi.....AND now that tumemaliza urafiki naomba mwisho wa mwaka huu mniambie ni wangapi mmekuwa wa maana mji huu au mmenufaikaje? Alafu kaeni msubtract na wakati mnanijua mimi, kama balance haitokuwa negative (-) sijui..... Goodluck.......
Haya sasa siko nao , sitowaponza tena watukanwe na starlisha kwenye mablog au Linda chizi kwenye fb (Huyu mgonjwa akisahau kunywa dawa tu huwa ana relapse) labda soon watakuwa watu wa maana sana mji huu....Haya lets wait and see....


Anyways, now that nimetoa dukuduku langu, nimeshawasamehe, kama kuna siku any of you atakuja kurealise kanikosea akataka kuniomba msamaha huna haja ya kuniomba msamaha maana nimeshawasamehe,maana thats the kind of person i am. sijui kuchukia mtu wala kuishi na kinyongo. God has blessed be abundantly and he always forgives me for my sins na nitakuwa namkosea sana kama nikiwa nashindwa kusamehe watu kama nyinyi. So nimewasamehe hata bila kuombwa msamaha, sikuja duniani na rafiki nilizaliwa peke yangu kwa baba yangu na mama yangu...... Namalizia na ushauri, acheni roho za kwanini, or else hata watoto wa shule watakuja kukua wakaanza life nyie bado mko hapo hapo mlipo no progress sababu ya roho mbaya na kusengenya watu wanaowapenda.

PS: Sorry dadangu ***** nisingeongelea hili ningeumwaaaaaaaa......\
 
Ndio maana mimi kama leela nampendaga sana huyu demu hakopeshi much love gal.
 

No comments:

Post a Comment