Plz read 
this!!!
Huwa napata 
shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa 
from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' 
unamwambia am 29 years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys 
who are 45 years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana 
mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua kabisa miaka 29 bado ndo unasaka 
hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijitahidi sanaaa utampeleka 
shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita 
Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 
47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie 
semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa 
ameshajipanga,amefanya kazi ana hela,unajifanya unampenda kumbe Parasite tu 
unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu 
ready made,tengenezeni vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke 
mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli 
una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote 
dirishani,msotee maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote 
halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring 
uone inavyouma,utatamani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone 
kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45years guy waiting for u student 
of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder 
au??
No comments:
Post a Comment